Top 10 Mitandao maarufu zaidi ya kijamii ya kutafutia Mchumba wa ndoto zako inayopatikana Play Store & App Store.
Top 10 Mitandao maarufu zaidi ya kijamii ya kutafutia Mchumba wa ndoto zako inayopatikana Play Store & App Store
01. Tagged
Huu ni mtandao wenye watumiaji zaidi ya milioni 500 duniani. Mtandao huu unapendwa zaidi na watu wengi na una Pisi mpaka za Masaki na Oyster Bay.
02. Zoosk
Huu ni mtandao ambao wenyewe wanaupigia upato kuwa mtandao wa kutafuta wachumba unaoongoza kwa umaarufu bara la Afrika. Uzuri wa mtandao huu ni kuwa unatumia mashine inayoitwa Behavioral Matchmaking™ wenye uwezo wa kutambua mchumba atakaye kufaa zaidi.
03. Lovoo
Huu ni mtandao ambao unauwezo wa kutafuta wachumba wanaoishi karibu na wewe. Watumiaji wa mtandao huu ni milioni 12, Mtandao huu hutumia teknolojia ya rada kuwatafuta wachumba walio karibu nawe.
04. Eskimi
Huu ni mtandao maarufu ambao una uwezo wa kuunganisha marafiki zako wa facebook ambao wako eskimi. Mtandao huu unakupa nafasi ya kuwaangalia na kutafuta wachumba kulingana na nchi, mikoa na miji tofauti tofauti.
05. Tinder
Huu mi mtandao spesheli wa kutumia kitumizi. Mtandao huu ni rahisi kuutumia. Kile kinachohitajika hapa ni kusukuma upande wa kulia kupenda picha ya mtu ama kusukuma upande wa kushoto kutakaa picha ya mtu.
06. BeNaughty
Huu ni mtandao unaokuwezesha kutongoza, kujamiiana na kutangamana na wengine ambao wako single. Mtandao huu una uwezo wa kuwaorodhesha wanawake 100 wazuri zaidi hivyo kukupatia nafasi ya wewe kuchagua bila tatizo.
07. Instadate
Mtandao huu ni maarufu zaidi nchini Liberia. Mtandao huu unakupa nafasi ya papo kwa hapo kuweza kuchat na watumiaji ambao wako single.
08. SpeedDate
Huu ni mtandao unaokua kwa kasi zaidi. Ukiwa na watumiaji zaidi ya milioni 13, mtandao huu una uwezo wa kuwezesha kufanyika kwa deti kwa wakati uliopo na pia kuchat papo kwa hapo.
09. SayHi!
Huu mtandao unadai kuwa na uwezo wa kuwaunganisha wachumba wapweke kupata mapenzi, kuweza kutongoza, kuchat na Jambo la kipekee kwa mtandao huu ni kuwa mtumiaji anaweza kutafuta mchumba kwa kuangalia ramani na pia kutafuta deti kwa sehemu za karibu unazoishi.
10. AYI – Are You Interested ?
Huu ni mtandao wa watu wakubwa. Mtandao huu umeunganishwa na facebook ambapo unaweza kuangalia picha, kuapload picha, kulike na kujua nani yuko interested.