FAMILIA ZA KITAJIRI ZAIDI BONGO
FAMILIA ZA KITAJIRI ZAIDI BONGO
Short Post🔥🧵
Hii ni Orodha ya Familia 10 tajiri zaidi Tanzania na Thamani ya Mali wanazomiliki
01. Dewji Family
Wamiliki wa METL Group of companies.
☆ Thamani 1.6 Billion dollars.
02. Rashidi Family
Wamiliki a Africarriers Group.
☆ Thamani 986 million dollars.
03. Manji Family (Late Yusuph Manji)
Wamiliki wa Quality Group of Companies.
☆ Thamani 960 million dollars
04. Azizi Family(Rostam Azizi)
Alikua mmiliki mkubwa wa share za Vodacom Tanzania.
☆ Thamani 900 million dollars.
05. Bhakresa Family
Hawa wanamiliki Bakhresa Group of Companies.
☆ Thamani 600 million dollars.
06. Mengi Family
Wamiliki wa IPP Media and Handeni Gold.
☆ Thamani 560 million dollars.
07. Patel Family
Hawa wanamiliki MMI Steels and Motisun.
☆ Thamani 520 million dollars.
08. Awadh Family
Hawa wanamiliki Lake Group Oil Company.
☆ Thamani 480 million dollars.
09. Mohammed Family
Wamiliki wa GSM Group Of Companies.
☆ Thamani 480 million dollars.
10. Kanabar Family
Hawa wana umiliki mkubwa katika kampuni ya Synarge.
☆ Thamani 390 million dollars.