Habari: Matokeo ya kidato Cha Nne 2024/2025 kutangazwa kesho.
Matokeo ya Kidato Cha Nne Mwaka 2024/2025
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza kuwa matokeo ya kidato cha nne kwa mwaka wa masomo 2024/2025 yatatangazwa rasmi siku ya Jumatano, tarehe 23, saa 5 asubuhi. Hii ni fursa muhimu kwa wanafunzi wote waliomaliza kidato cha nne na wazazi wao kuangalia matokeo yao.
Wanafunzi na wadau wa elimu wanashauriwa kufuatilia tangazo hilo kupitia tovuti rasmi ya NECTA au kwa njia nyingine rasmi itakayotolewa. Tunawatakia kila la heri katika matokeo yenu!
Chanzo: Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA)